Gamboshi si mbaya kama picha hizi zilizopigwa na Miguel Suleyman zaonyesha, ila ni umasikini mkubwa katika kijiji hicho unaoletwa na kutengwa na jamii nyingine kutokana na hofu ya uchawi ambao watu wanaamini watu wa Gamboshi wanaongoza. Nimekwenda na nimepokelewa na hawa ni baadhi ya marafiki katika uwanja mkuu wa kijiji cha Gamboshi.Hata hivyo wenyewe hupenda kujiita wana Gambosi na si Gamboshi kama tulivyozoea kuwaita
Gamboshi si mbaya kama picha hizi zilizopigwa na Miguel Suleyman zaonyesha, ila ni umasikini mkubwa katika kijiji hicho unaoletwa na kutengwa na jamii nyingine kutokana na hofu ya uchawi ambao watu wanaamini watu wa Gamboshi wanaongoza.
ReplyDeleteNimekwenda na nimepokelewa na hawa ni baadhi ya marafiki katika uwanja mkuu wa kijiji cha Gamboshi.Hata hivyo wenyewe hupenda kujiita wana Gambosi na si Gamboshi kama tulivyozoea kuwaita